Rais Kikwete akifurahia kinywaji na wachezaji katika hafla fupi ya kukabidhi kombe la Kagame
Rais Kikwete akikabidhiwa Kombe na Nahodha msaidizi Himid Mao
Rais Kikwete akikabidhiwa Kombe na Nahodha msaidizi Himid Mao
Rais Kikwete akiwa ameshikilia Kombe alilokabidhiwa na wachezaji wa Azam FC
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Azam FC
Mwenyekiti wa klabu ya soka ya Azam FC Said Mohamed akimwelezea Rais Kikwete jinsi timu hiyo ilivyopambana na kutwaa ubingwa wa kombe la Kagame.
No comments:
Post a Comment