BREAKING

Thursday, 6 August 2015

KOCHA MKUU WA TAIFA STARS BONIFACE MKWASA, AITA NYOTA 29, MAANDALIZI YA KUIA NIGERIA KATIKA HATUA ZA ,KUFUZU FAINALI ZA AFCON

 Kocha Mkuu wa Taifa Stars Boniface Mkwasa akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani, kulia ni Afisa Habari wa TFF Baraka Kizuguto, kushoto ni msaidzi wa Mkwasa , Abdala King Kibaden
Mkwasa akijibu baadhi ya maswali kutoka kwa waandishi wa habari, aliyeshika shavu kulia ni Afisa Habari wa TFF, Baraka Kizuguto, na kushoto ni Kibaden.

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube