BREAKING

Sunday, 9 August 2015

LIGI YA MPIRA WA KRIKETI YAANZA KUTIMUA VUMBI,VIWANJA VYA LEADERS CLUB JIJINI DAR ES SALAAM, TIMU ZA UNION NA DIKIDIKI ZAUMANA VIKALI.

   Mchezaji wa Union akipiga mpira 

   Mchezaji wa DikiDiki akirusha mpira.

 Mchezaji Farouk wa timu ya Union akipiga mpira.

 Mchezaji Miraji wa timu ya DikiDiki akirusha mpira

 Jiymus akipiga mpira

 Wachezaji wa timu ya Union wakikimbia

   Mchezaji wa Union akikimbia mtupo

   Maadhi ya mashabiki wakifuatilia mchezo huo

   Mashabiki wa mchezo wa Kriketi.

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube