Team shiriki iliyoanzimisha siku ya uvumbuzi wa fuvu la kichwa la binadamu wa kwanza Zinjanthropus,kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Ethiopia na Uganda wakiwa katika picha ya pamoja katika Jengo la Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam.
Fuvu la ZINJANTHROPUS,liliogunduliwa na Dk.Louis Leakey na mkewe Dk Mary Leakey kutoka Uingereza mwaka 1957 Tanzania huko Olduvai gorge
Agnes Gidna ambaye ni mhifadhi wa makumbusho ya Taifa kitengo cha Paleontology akiwaelezea waandishi wa habari tofauti ya fuvu la ZINJANTHROPUS na lile la JAMII HOMOHABILIS, yaliyopatikana katika bonde la Gerge Olduvai
Fuvu la JAMII YA HOMOHABILIS
Mwandishi wa Channel Ten Sangu Joseph akipata maelezo kutoka kwa mhifadhi Mkuu wa Makumbusho kitengo cha Paleontology
Dk.Charles Saanane,ambaye ni mjumbe wa kamati ya East Africa Association,akielezea kwa waandishi wa habari hawapo Pichani utofauti wa mafuvu ya JAMII YA HOMOHABILIS na ZINJANTHROPUS
Dk.Charles Saanane,
No comments:
Post a Comment