BREAKING

Monday 17 August 2015

LINO HURU:BASATA YAIRUHUSU KAMPUNI YA LINO AGENCY INTERNATIONAL KUENDELEA NA MASHINDANO YA MISS TANZANIA BAADA YA KUIFUNGIA MIAKA 2 KWA KUKIUKA SHERIA NA KANINI.

 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Lino International Agency Hashimu Lundenga,akizungumzia kurejeshewa haki ya shindano la Miss Tanzania

   LUNDENGA

 Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Taifa Geofrey Mngerteza akizungumza na waandishi wa habari, hawapo pichani

 Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Taifa Geofrey Mngereza akipeana mkono na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Lino International Agency Hashimu Lundenga

Na Said Makala

Baraza la sanaa taifa (BASATA) limetangaza kulifungulia shindano la urembo la  Miss Tanzania baada ya waandaji wa mashindano kampuni  ya Lino international Agency kurekebisha baadhi ya kasoro zilizojitokeza.

Akizungumza na waandishi wa habari katibu mtendaji wa baraza la sanaa Taifa Geofrey Mngereza amesema baraza limeamua kuyafungulia mashindano hayo kufuatia waandaji kuomba radhi pamoja na kutekeleza baadhi ya kanuni na taratibu za uendeshaji wa mashinado hayo ikiwemo kukamilisha usajili wa mawakalam wa ngazi zote za mashindanio.

Aidha mngereza amesema kuwa baraza wameipa miezi minne ya uwangalizi kwa waaandaji wa mshindano kuangalia kama watamaliza baadhi ya changamoto zilizo

kwa upande wake mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Lino international agency Hashimu Lundenga amesema kwa sasa kampuni hiyo imejapanga vya kutosha kuhakikisha inakabiliana na changamoto zilizojotokeza awali hazijiludii tena.

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube