BREAKING

Sunday, 9 August 2015

SIMBA SC NA SC VILLA KATIKA PICHA SIMBA DAY JANA KATIKA UWANJA WA TAIFA, MANARA NA KOCHA MKUU KERR WALIVYONG'ARA

    Kocha Mkuu wa Simba Dylan Kerr akipiga shuti
 Afisa habari wa Simba Hajji Manara katika Ubora wake


    Manara akikokota mpira



  Manara akimtoka beki wa timu ya Wasanii


     Hajji Manara akiwatoka mabeki wa timu ya Bongo Movie

 Manara akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa timu ya Bongo Movie

   Kocha wa Simba Kerr, akipiga mpira.
 
 

 Heka heka katika lango la timu ya SC Villa jana

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube