BREAKING

Sunday 16 August 2015

WASANII KUTOKA RWANDA, UGANDA NA AFRIKA KUSINI KUPAMBA TAMASHA LA INJILI LA KUOMBEA TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU MWAKA HUU

  ALEX MSAMA..-Mratibu mkuu wa tamasha akifafanua jambo kuhusiana na Tamasha hilo


Baadhi ya waandishi wakimsikiliza Mratibu Alex Msama wakati akitangaza nchi zitakazoshiriki katika Tamasha hilo Oktoba mwaka huu


Wasanii mbalimbali wa nyimbo za injili kutoka nchi mbalimbali za afrika ikiwemo za Kenya,Rwanda Uganda na Afrika kusiini wanatarajia kushiriki katika tamasha la  injili lenye lengo la kuliombea taifa kuelekea uchaguzi mkuu mwezi oktoba mwaka huu.

Tamasha hilo ambalo linalotarajia kufanyika Oktoba 4 linalengo la kumpatia zawadi rais wa jamhuri wa muunganio wa tanzania dkt Jakaya Mriosho kikwete kufuatia kazi yake kulinda na kutetea amani ya nchi katika kipindi cha chake uongozi.

Akizungumza na waandishi wa habari mratibu mkuu wa tamasha hilo Alex Msama amesema watanzania wanapaswa kuwa makini hususani kuelekea kipindi hiki cha uchaguzi kufuatia wanasiasa kuhatarisha hali ya amani ya taifa.

Aidha mratibu huyo ameongeza kuwa kupitia tamasha hilo fedha zitakazo patikana zitatumika kusaidia makundi maalumu yanayoishi katika mazingirav magumu.

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube