Manchester City wamemsajili mlinzi wa kimataifa wa Argentina Nicolas
Otamendi kutoka klabu ya Valencia kwa mkataba wa miaka mitano.
Mchezaji
huyo mwenye miaka 27 alitajwa katika kikosi bora cha La Liga msimu wa
2014-15 na aliisaidia nchi yake kufika fainali ya Kopa Amerika mwaka
huu.
Akizungumza mudfa mfupi baada ya kunayiwa vipimo vya afya otamendi amesema kuwaa ndani ya klabu hiyo ambao nui matajiri pekee katika jiji la manchster kunamfanya ajione kuwa ni miongoni mwa wachezaji muhimu katika ramani ya soka
kwa upande wake kocha wa kikosi mancheter City Manuel Pellegrini amesesema kwa sasa ana imarisha safu yake ya ulinzi ili kukaba;liana na wapinzani wake katika mbio za kuwania ligi kuu uingetreza msiomu huu
Kikosi hicho cha city wiki iliyopita kilishushia kikchapo kikali cha bao 3-0 matajiri wa jiji la london chelsea thew blues
No comments:
Post a Comment