ARSENAL KUENDELEZA MOTO WAKE LEO?
- Arsenal tangu ilipopoteza kwa Fulham mabao 2-1, Desemba 31 mwaka jana, haijapoteza tena kwenye ligi na imeibuka na ushindi kwenye mechi saba mfululizo, huku ikigawa dozi ya bao nyingi na kukimbiza mashabiki wa timu wenyeji mapema viwanjani.
Usiku wa leo watakuwa wakiwakatibisha Vibonde Luton Town wenye alama 22, katika Mchezo mhimu katika Dimba la Emirates
No comments:
Post a Comment