skip to main |
skip to sidebar
MATUKIO MBALIMBALI YA PICHA WAKATI WA MGOMBEA URAIS, WA CHADEMA EDWARD LOWASA ALIPOKUWA AKIELEKEA KUCHUKUA FOMU,KATIKA OFISI ZA NEC
Wafuasi wa Chama cha Wananchi CUF wakiwa katika maandamano wakati Mgombea Urais kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Edward Lowasa, akielekea kuchukua fomu ya kugombea katika Ofisi za NEC
Wafuasi wa CUF wakiwa wametanda Barabarani.
No comments:
Post a Comment