skip to main |
skip to sidebar
BARAZA LA SANAA LA TAIFA BASATA LAWATAKA WASANII KUJISAJILI BASATA NA COSOTA KUEPUKA MIGOGORO YA KUIBIWA KAZI ZAO.
Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Geofrey Mngereza akizungumzia masuala ya wasanii kujisajili COSOTA NA BASATA
Katibu Mtendaji BASATA akifafanua jambo
Baadhi ya wasanii wakisikiliza kwa makini.
No comments:
Post a Comment