Picha Mbalimbali zikimuonyesha Mtunzi mahiri wa Vitabu vya Hadithi Hussein Tuwa akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Kitabu chake kipya cha MTAFITI,Kitabu hicho kinaelezea baadhi ya matukio halisia zikiwepo vurugu zilizotokea Mtwara wakati wa Mchakato wa mafuta ya Gesi.
Safi sana....
ReplyDelete