BREAKING

Sunday, 9 August 2015

WEST HAM UNITED WAISULUBU ARSENAL KWA MABAO 2-0 NYUMBANI

  
Mfungaji wa bao la pili Mauro Zarate akishangilia 

   Mauro Zarate
    Cheikhou  Kouyate akishangilia

   Ramsey akipiga shuti lango la West Ham

  Oxlade-Chamberlain, akijaribu kumtoka kiungo wa West Ham  Oxford

 Kocha wa Arsenal Arsene Wenger  akiinamisha kichwa baada ya kungwa 

  Cech akijaribu kupangua mpira wa kichwa uliopigwa na mshambuliaji Kouyate

    Kouyate akishangilia bao lake dhidi West Ham United

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube