BREAKING

Monday, 28 June 2021

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MKUTANO WA 12 BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano wa 12 wa Baraza la Taifa la Biashara katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akifungua kongamano la siku 100 za Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo Juni 27,2021.

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube