skip to main |
skip to sidebar
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI SADC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki Mkutano wa dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC uliofunguliwa Leo Juni 23,2021 Jijini Maputo Nchini Msumbiji.
No comments:
Post a Comment