Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. George Boniface Simbachawene pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Meja Jenerali Suleiman Mzee wakiwa na Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Mavunde katika ziara fupi ya kukagua mipaka ya Jeshi la Magereza Msalato ambayo inapakana na kata za Mbalawala,Msalato na Makutupora kwa lengo la kutatua migogoro ya ardhi ya maeneo husika.
No comments:
Post a Comment