Nyota wa England Raheem Sterling usiku wa jana alikuwa mwiba katika mchezo uliowakutanisha Engeland na Ujeruman hatua ya 16 bora ya michuano ya Euro akifunga bao dakika ya 75, katika mchezo uliofanyika kwenye dimba laWembley
Nahodha wa EnglandHarry Kane alishindilia mwiba wa mwisho kwa kufunga bao maridadi kwa kichwa dakika ya 86 na kuzamisha kabisa jahazi la wajeruman
No comments:
Post a Comment