Sabrina Msuya akielezea jinsi ya kucheza Mchezo wa Lucky Numbers..
Wakati Ligi Kuu ya Tanzania Bara ikielekea ukingoni wadhamini wa Vilabu vya Simba,Yanga na Namungo Kampuni ya Ubashiri ya SportPesa wamesema kwamba wataeandelea kushiriki katika kuendeleza mchezo wa soka huku ukitoa nafasi zingine kwa mashabiki katika ubashiri michezo katika promosheni wanzozianzisha.
Sabrina Msuya ni Afisa Uhusiano na Mawasiliano wa SportPesa amesema hayo wakati akizindua drooo inayojulikana Lucky Numbers yaani Namba za Bahati ambayo itakuwa ikichezwa.
Amesema kuwa ili kuendelea kuwa katika wigo wa michezo wameanzisha shindano hilo la Namba ya bahati ambayo imekuwa ichezwa Duniani
“Tumezindua Huduma hii ikiwa na Michezo zaidi ya 160 yenye masoko zaidi ya 14 kwa jailli ya waters wetu kuwa na wigo mpana wa kucheza.Kumbuka hizi ni droo zinazochezwa sehemu mbalimbali duniani na Matokeo yake sio ya Siri” Anasema Sabrina
No comments:
Post a Comment