BREAKING

Thursday 24 June 2021

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AREJEA NCHINI AKITOKEA MAPUTO, BAADA YA KUHUDHURIA MKUTANO WA DHARURA




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo  Juni 23,2021, akitokea Maputo Nchini Msumbiji  alikohudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi  Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC. 

Ambapo kwenye Mkutano huo SADC imeridhia kuanzishwa kwa Kituo cha Haki za Binaadamu kitakachosaidia Nchi zinazokabiliwa na Athari za mabadiliko ya Tabia Nchi, kuweza kukabiliana na Janga la Covid 19 pamoja na kuangalia jinsi gani SADC itaweza kupambana na suala la Ugaidi.

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube