MAKAMU WA RAIS DKT.PHILIPO MPANGO AZUNGUMZA NA BARAZA LA WAISLAM BAKWATA -TANGA
Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt Philip Isdor Mpango akizungumza na Washiriki wa mkutano mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA)wa mwaka 2021,wakati akifungua mkutano huo unaofanyika Jijini Tanga.
No comments:
Post a Comment