MAJALIWA AWASALIMIA WANANCHI WA BASHNET AKIWA KWENYE ZIARA ZAKE
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Bashnet wilayani Mbulu wakati aliposimamakijijini hapo akitoka Mbulu kwenda Hanang Februari 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment