BREAKING

Tuesday 7 February 2017

KILELE CHA MAADHIMISHO MIAKA 40 YA CCM MKOA WA DODOMA LEO

 Katibu Mkuu wa CCM, Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akihutubia katika sherehe za Kilele cha Miaka 40 ya CCM mkoa wa Dodoma, zilizofanyika leo katika ukumbi wa jenngo la CCM wa Dodoma Convertion Centre nje kidogo ya mji wa Dodoma.(Picha na Bashir Nkoromo).

 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula, akihutubia katika sherehe za Kilele cha Miaka 40 ya CCM mkoa wa Dodoma, zilizofanyika leo katika ukumbi wa jengo la CCM wa Dodoma Convertion Centre nje kidogo ya mji wa Dodoma. Kulia ni Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
Katibu Mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole akihamasisha katika sherehe za Kilele cha Miaka 40 ya CCM mkoa wa Dodoma, zilizofanyika leo katika ukumbi wa jengo la CCM wa Dodoma Convertion Centre nje kidogo ya mji wa Dodoma.

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube