BREAKING

Monday 20 February 2017

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA MINJINGU



Mifuko ya mbolea ya kiwanda cha Minjingu mkoani Kagera  ikiwa na maandishi yanayoonyesha kuwa mbolea hiyo inazalishwa nchini Kenya. Mifuko hiyo ambayo ilishuhudiwa na Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa Februari 19, 2017  wakati alipotembelea kiwanda hicho, ilimkera sana na aliuagiza uongozi wa kiwanda hicho  kumuandikia barua Rais John Pombe Magufuli  ya kumuomba radhi kwa kitendo hicho. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu) 

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube