BREAKING

Sunday, 12 February 2017

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA MAZOEZI YA VIUNGO YA KITAIFA AMBAYO YAMEFANYIKA MKOANI DODOMA

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa sambamba na Waziri wa Habari,Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Nnauye kati kati wakiwa katika matembezi ya mazoezi ya Viungo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongoza mazoezi ya viungo kwa Mawaziri Wabunge pamoja nawananchi waliuhudhiria katika kushiriki mazoezi hayo ambayo yamefanyika katika Uwanja wa Jamuhuri Dodoma yakiwa nalengo la kupambana na maradhi yasiyo ambukizika Mazoezi hayo yamefanyika kitaifa Mkoani Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwahutubia Mawaziri Wabunge Watumishi na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma ambao wajitokeza katika kushiriki Mazoezi ya Viungo yenyelengo la Kupambana na Magonjwa yasiyo ambukizika Mazoezi hayo Kitaifa yamefanyika katika Uwanja wa Jamuhuri Mkoani Dodoma

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube