JUMA KASEJA BADO ANAKIMBIZA, ACHAGULIWA KIPA BORA MWEZI JANUARI....LIGI KUU BARA
Mlinda mlango mahiri wa timu ya Kagera Sugar Juma Kaseja amechaguliwa mchezaji bora wa mwezi Januri na kuisaidia timu yake kwa kushinda mechi tatu mfululizo na kuwashinda wachezaji wenzake Mbaraka Abeid kutoka Kagera na Jamali Mtegeta wa Toto Afrika
Afisa habari wa Shirikisho la Soka Tanzania TFF Alfredy Lucas amezungumzia jinsi nyota huyo alivyoibuka mchezaji bora.
No comments:
Post a Comment