BREAKING

Wednesday, 15 February 2017

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHAR MJINI KITETO


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea  kutoka kwa  Katibu wa Baraza la Amani la  Kiteto,  Salum Mambo, jembe la asili  ikiwa ni ishara ya kukoma kwa mauaji kati ya wakulima na wafugaji wilayani Kiteto katika mkutano wa hadhara aliouhutubi kweye uwanja wa michezo wa Kiteto, Februari 15, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea  kutoka Mzee Mbambire Oloi Kurukur, jani la mti ikiwa ni ishara ya amani ya kukomesha mapigano kati ya wakulima na wafugaji wilayani Kiteto kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa michezo wa  Kiteto, Februari 15, 2017.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Wananchi wa Kiteto wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia  mkutano wa  hadhara kwenye uwanja wa michezo wa Kiteto Februari 15, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye  uwanja wa michezo wa Kiteto  akiwa katika ziara ya mkoa wa Manyara, Februari 15, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube