skip to main |
skip to sidebar
MAJALIWA AZINDUA BARABARA YA MWANAKWEREKWE HADI FUONI- ZANZI
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua barabara ya Mwanakwerekwe hadi Fuoni yenye
urefu wa kilomita 4.1 iliyopo Zanzibar Januari 11, 2017. Kushoto ni
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji, Ali Karume . (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia baada ya kuzindua barabara yenye urefu wa
kilomita 4.1 ya kutoka Mwanakwerekwe hadi
Fuoni Zanzibar ikiwa ni moja ya shughuli za sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar,
Januari 11, 2017. Katikati ni Waziri wa
Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa rais wa Zanzibar, Mohammed Abood na Kulia
ni Mkuu wa mkoa waMjini Magharibi,
Mohammed Mahmoud. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa
Zanzibara wakati alipowasili kwenye eneo la
Barabara ya Mwanankwerekwe hadi
Fuoni kufungua barabara hiyo yenye urefu wa Kilomita 4.1 Januari 11, 2017.
Kushoto ni Waziri wa Ujenzi, , Mawasiliano na Usafirishaji, Ali Karume. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya
wananchi wa Zanzibar wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipozungumza baada ya kuzindua barabara ya Mwanakwerekwe hadi Fuoni yenye
urefu wa Kilomita 4.1 ilyopo Zanzibar Januari 11, 2017. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuzindua barabara ya Mwanakwerekwe hadi
Fuoni yenye urefu wa Kilomita 4.1 iliyopo Zanzibar Januari 17, 2017. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akishiriki katika dua iliyosomwa baada ya kuzindua barabara ya
Mwanakwerekwe hadi Fuoni yenye urefu wa Kilomita 4.1 iliyopo Zanzibar Januari
17, 2017.Wengine pichani kutoka kushoto ni Spika wa Baraza la Wawakilishi, Zubri Ali Maulid, Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi, Mohammed Mahmoud na kulia ni Waziri wa Ujenzi, Mawsiliano na Usafirishaji, Ali Karume. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment