BREAKING

Monday 23 January 2017

RAIS WA UTURUKI WASILI NCHINI


Rais wa  Uturuki,  Mheshimiwa  , Recep Tayyip Erdogan akiongozana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam kwa ziara rasmi Januari 22, 2017.Mheshimiwa Majaliwa alimpokea Rais huyo kwa niaba ya Rais John Magufuli. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa   na Rais wa Uturuki, Mheshimiwa Recep Tayyip Erdogan  aliyefuatana na  mkewe, Mheshimiwa Emine Erdogan (kulia) wakifuhia ngoma kwenye uwanja wa ndege wa Julius Kambarage jijini Dar es salaam baada ya Rais huyo  kuwasili kwa ziara rasmi nchini Januari 22, 2017. Mheshimiwa Majaliwa alimpokea Rais huyo kwa niaba ya Rais John Magufuli. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Rais wa Uturuki, Mheshimiwa Recep Tayyip Erdogan akiagana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kumfikisha kwenye hoteli ya Serena  jijini Dar es salaam  baada ya kumpokea kwenye uwanja wa ndege wa Dar es salaam na kumsindikiza hadi kwenye hoteli hiyo alikofikia Januari 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube