Mawakala wa CCM katika Uchaguzi mdogo wa Udiwani Kata ya Kijichi, Mbagala Dar es Salaam, wakimshangilia, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili ukumbini kufunga semina yao, leo |
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga, akisalimia viongozi na mawakala wa CCM, katika Ucaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Kijichi |
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga, akisalimia viongozi na mawakala wa CCM, katika Ucaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Kijichi |
Kisha Katibu Mkuu akampa Kapelo rasmi ya CCM |
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke Yahya Sikunjema akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, ili amkaribishe Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kufunga semina hiyo |
Mwenyekiti wa CCM mkkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida akifafanua jambo kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kufunga semina hiyo |
No comments:
Post a Comment