Katibu Mkuu wa CCM akihutubia wananchi katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Dimani, Zanzibar, leo |
Wananchi wakipokea kwa furaha salama za Kinaa na Mpogolo walipowasalimia wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo |
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akisalimia wananchi baada a kutambulishwa na Kinana kwenyeuzinduzi wa kampeni hizo leo mjini Zanzibar |
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Zanzibar, Vuai Ali Vuai akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo leo mjini Zanzibar |
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Ali Seif Idi, akizungumza na wananchi baada ya kukaribishwa a Kinana kwenye uzinduzi wa kampeni hizo,jibola Dimani Zanzibar, leo |
Katibu wa NEC,Itkadina ueneziHumphrey Polepole akisalimia wananchi baada ya kukariishwa a Kinana kwenyeuzinduzi wa kampenihizo, jimbola Dmani Zanzibar leo |
Polepole akionyesha furaha yake wakati akiwaslaimiawananchi baada ya kukaribishwa na Kinana kwenye uzinduzi wa kampeni hizo katika jimbo la Dimani, Zanzibar, leo |
Plepole akizungumza baada ya kukaribishwa na Kinana kwenye uzinduzi wa kampeni hizo jimbo laDimani leo. |
Wananchi wakiwa na mabango kuonyesha walivyojitokeza katika uzinduzi wa kampeni hizoleo. |
No comments:
Post a Comment