BREAKING

Monday, 9 January 2017

BARCELONA WAPONEA KWENYE TUNDU LA SINDANO KWA VILLARREAL ..

Kiungo wa Barcelona, Sergio Busquets akimfanyia faulo  mshambuliaji wa Villarreal, Alexandre Pato katika mchezo wa La Liga

Mchezo huo ulifanyika kwenye Uwanja wa El Madrigal, ambapo timu hizo zlitoshana nguvu kwa sare ya 1-1, ambpo . Villarreal walitangulia kupata bao lililofungwa na Nicola Sansone dakika ya 49 kabla ya Lionel Messi kuisawazishia Barca kwa shuti la mpira wa adhabu dakika ya 90 ya mchezo.

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube