Waziri Muu, Kassim Majaliwa akizugumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dkt. Joel wakiwa katika kijiji cha Lembapuli kilichopo kwenye mpaka wa wilaya ya Kiteto na Kilindi Januari 18, 2017. Mheshimiwa Majaliwa alikwenda Kiteto na Kilindi kutatua mgogoro wa mpaka unaovikabili vijiji vya Mafisa na Kijungu. Wapili kushoto ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga na Muu wa Wilaya ya Tanga mjini , Thobias Mwilapwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mkuu, Kassim Majaliwa akielekea kwenye moja ya jiwe la mpaka wa wilaya ya Kilindi na Kiteto wakati alipokwenda kwenye kijiji cha Lembapuli kilichopo kwenye mpaka wa Kiteto na Kilindi kutatua mgogoro wa mpa Januari 18, 2017. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dkt. Joel Bendera na kulia kwake ni Mkuu wa wilaya na Tanga na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga Thobias Mwilapwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa watalaam wa upimaji ardhi kuhusu jiwe la alama ya mpaka wa wilaya ya Kilindi na Kiteto katika kijiji cha mpakani cha Lembapuli Januari 18, 2017. . Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dkt. Joel Bendera na kulia kwake ni Mkuu wa wilaya na Tanga na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga Thobias Mwilapwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Kiteto na Kilindi wakati alipokwenda kwenye kijiji cha Lembapuli kilichopo kwenye mpaka wa wilaya hizo kutatua mgogoro wa mpaka Januari 18, 2017. Wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Manyara, Dkt. Joel Bendera na wapili kulia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga na Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Thobias Mwilapwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutanao wa hadhaa katika kijiji cha Lembapuli kilichopo mpakani mwa wilaya za Kilindi na Kiteto alikokwenda kutatua mgogoro wa mpaka Januari 18, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wananchi wa wilaya za Kilindi na Kiteto wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Lembapuli kilichopo mpakani mwa wilaya za Kiteto na Kilindi alikokwenda kutatua mgogoro wa mpaka Januari 18, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment