Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Meja Jenerali Mstaafu, Rafael Muguga baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda Januari 17, 2017 ambako alifungua duka la dawa la MSD. Wpili kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Katavi, Muselem Said Abdallah. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi na watumishi wa Halmashauri na Manispaa ya Mpanda na wananchi kwenye Ikulu ndogo ya Mapanda Januari 17, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na Elizabeth Zephania , mmoja wa wazazi waliojifungua katika hospitali ya Mpanda wakati alipotembelea wodi ya wazazi ya hospitali hiyo Januari 17, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Mpanda kabla ya kufungua duka la dawa la MSD katika hospitali hiyo Januari 27, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment