BREAKING

Thursday, 9 July 2015

RAIS KIKWETE AVUNJA BUNGE RASMI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilihutubia Bunge la Tanzania na hatimae kulifunga. Kulia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Anna Makinda. (Picha na Joseph Senga)
 Spika wa Bunge Anne Makinda akimuongoza Rais Jakaya Kikwete kuingia katika ukumbi wa Bunge.
Kutoka kushoto ni Waziriu Mkuu mstaafu, Joseph Sinde Warioba, Waziri Mkuu mstaafu, Salim Ahmed Salim, Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na Rais mstaafu wa awamu ta pili, Ali Hassan Mwinyi wakifuatilia hotuba ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa kuvunja Bunge mjini Dodoma.
 Rais Kikwete akitoka mara baada ya kulivunja Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi na Rais mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa.
Wimbo wa taifa ukipigwa.

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube