Diwani wa kata ya
Gongo la Mboto na Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa akihutubia
wananchi katika uwanja wa shule ya msingi kitunda mwishoni mwa wiki ambapo
alieleza mafanikio yaliyopatikana wakati wa kipindi chake cha uongozi na
kukamilisha ahadi mbalimbali alizokuwa amezitoa.
Baadhi ya madiwani na
wazee wa Ukonga wakimpongeza Meya Jerry Slaa kwa kutimiza ahadi alizotoa muda mfupi
baada ya kueleza mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wake ambapo vilevile
alitangaza nia ya kugombea Ubunge wa jimbo la Ukonga
Watoto wakitoa burudani
wakati wa mkutano huo
Sehemu ya umati wa watu
waliohudhuria mkutano huo wakishangilia kwa furaha baada ya kuguswa na hotuba
ya Meya Jerry Slaa
Baadhi ya madiwani na
viongozi wa CCM kata ya Ukonga wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mkutano
huo.
No comments:
Post a Comment