MGOMBEA URAIS KUPTIA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM, JOHN POMBE MAGUFULI AFUNIKA GEITA, UMATI WAJITOKEZA KUMLAKI,PICHANI NI MATUKIO TOFAUTI TOFAUTI MKOANI HUMU
Mgombea Urais wa CCM, John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mkoa wa Geita ikiwa ni moja ya kujitambulisha kwa wananchi baada ya kuteuliwa na chama chake kuwania kiti cha urais
Umati wa wananchi wa Geita ulifika kumlaki Magufuli.
No comments:
Post a Comment