Taarifa kutoka TFF zinaeleza kuwa Kamati ya Maadili ya Shirikishi hilo
inatarajiwa kutoa majibu ya rufaa ya aliyekuwa Makamu wa Rais, Michael
Richard Wambura, dakika kadhaa zijazo kuanzia sasa.
Tutaendelea kukujuza kile kitakachofuata kupitia hapahapa
Wambura
alikata rufaa kupinga kufungiwa maisha kujihusisha na soka baada ya
kudaiwa kufanya ubadhirifu wa fedha za shirikisho pamoja na makosa
mengine ndani ya TFF.
No comments:
Post a Comment