Wapenzi na wateja wa DStv, ni nafasi yenu sasa ya kufurahia msimu wa Kombe la Dunia kwani tumekuletea chaneli maalum itakayokuwa ikirusha matukio matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye historia ya Kombe la Dunia kuanzia ilipoanza mpaka sasa! Chaneli hii inapatikana sasa kwa wateja wote wanaotumia king’amuzi cha DStv, Supersport 214 iliyopo kuanzia kifurushi Bomba.
Wewe mpenzi wa soka ambae unalisubiri kwa hamu FIFA Kombe la Dunia 2018, Angalia sasa chaneli hii maalum yenye matukio maalum ya Kombe la Dunia, kupitia chaneli hii Supersport 214 utakuatana na
- Historia ya mashindano ya Kombe la Dunia kuanzia mwaka 1966 mpaka 2012
- Mechi zilizotamba na kufanya vizuri ndani ya Kombe la Dunia
- Mahojioano mbalimbali pamoja na wachezaji
- Makala za Lombe la Dunia
Kubwa kuliko ni kwamba chaneli hii maalum iliyoanza rasmi tarehe 18 Aprili na itaendelea kuwepo mpaka tarehe 12 Juni inapatikana kwenye king’amuzi cha DStv pekee, kuanzia kifurushi Bomba kwa sh.19,000 tu, chaneli namba 214.
Pata Ladha na burudani ya Kombe la Dunia kabla ya Kombe la Dunia 2018 kuanza kupitia ndani ya DStv pekee!
No comments:
Post a Comment