BREAKING

Friday, 6 April 2018

HIVI NDIVYO RAIS MAGUFULI ALIVYOWEZA KUMTAMBUA MVUMBUZI WA MADINI YA TANZANITE,MZEE JUMANNE NGOMA

 Rais Magufuli akiwa makini kumsikiliza Mzee Ngoma alipokuwa akitoa neno fupi baada ya kutambuliwa na Rais Magufuli kutokana na Uvumbuzi wa madini ya Tanzanite,Rais Magufuli ametoa msaada wa Shilingi Millioni 100, kwa ajili ya matibabu ya Mzee Ngoma ambaye amepooza


 Mzee Jumanne Ngoma akitoa shukrani kwa Rais Magufuli mara baada ya kutambuliwa na Serikali kwa Uvumbuzi wa Tanzanite, utambuzi huo ulifanyika katka uzinduzi wa Ukuta uliojengwa na Jeshi la Kujenga Taifa


No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube