Jeneza la aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samweli Sitta, likionakana hapo kabla ya kuagwa lleo katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.
Rais Staafu wa awamu ya nne DK.Jakaya Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa marehemu aliyewahi kuwa Spika wa Jamhuri ya Muungano Samweli Sitta,wakati wa Kumuaga katika Viwanja vya Karimjee,Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment