Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al-Najem Ofisini
kwake bungeni mjini Dodoma Novemba 9,
2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea hundi ya dola za Marekani 33,000 kutoka kwa balozi wa Kuwait
nchini, Jasem Al-Najem ukiwa ni msaada kwa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani
Kagera. Makabidhiano hayo yalifanyka ofisini kwa Waziri Mkuum bungeni mjini
Dodoma Novemba 9, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment