BREAKING

Wednesday 16 November 2016

MAJALIWA AZINDUA MRADI WA UBORESHAJI MIUNDOMBINU YA UMEME JIJINI DAR ES SALAAM

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Waziri wa Biashara na maendeleo wa Finland, Kai Mykkanen wakatizama moja ya mitambo ya umeme  katika Kituo cha TANESCO cha Mikocheni kabala ya kuzindua  Mradi wa Uboreshaji Miundombinu ya Umeme jijini Dar es salaam, Novemba 16, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) wakitazama mfumo wa usambazaji umeme  kabla ya Waziri Mkuu kuzindua Mradi wa Uboreshaji Miundombinu ya Umeme jijini Dar es salaam kwenye Kituo cha TANESCO cha Mikocheni jijini Dar es salaam Novemba 16, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo  akizungumza katika Uzindunduzi wa Mradi wa Uboreshaji Miundombinu ya umeme katika jiji la Dar es salaam uliofanywa na Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa kwenye Kituo cha TANESCO cha Mikocheni jijini Dar es salaam Novemba 16, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Uboreshaji Miundombinu ya Umeme jijini Dar es salaam kwenye Kituo cha TANESCO cha Mikocheni Novemba 16, 2016.  Kushoto kwake ni Waziri wa Biashara na Maendeleo wa Finland, Kai Mykkanen na kulia kwake ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia baada ya kukata  utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Uboreshaji Miundombinu ya Umeme jijini Dar es salaam kwenye Kituo cha TANESCO cha Mikocheni Novemba 16, 2016.  Kushoto kwake ni Waziri wa Biashara na Maendeleo wa Finland, Kai Mykkanen na kulia kwake ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na watalaam kutoka Finland baada ya kuzindua   Mradi wa Uboreshaji Miundombinu ya Umeme jijini Dar es salaam kwenye Kituo cha TANESCO cha Mikocheni Novemba 16, 2016.  Kushoto kwake ni Waziri wa Biashara na Maendeleo wa Finland, Kai Mykkanen na kulia kwake ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Biashara na Maendeleo wa Finland, Kai Mykkanen  baada ya kuzindua Mradi wa Uboreshaji Miundombinu ya Umeme katika jiji  la  Dar es salaam kwenye Kituo cha TANESCO cha Mikocheni Novemba 16, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube