Timu ya Azam FC imeamua kuachana na kiungo wake wa Kiamataifa kutoka Ivory Coast Kipre Bolou .
Azam FC, imeachana na nyota huyo baada ya mkataba wake kumalizika na sasa familia ya wawili hao ndugu imeisha kabisa baada ya awali ndugu yake Kipre Herman Tchetche kuondoka na kuelekea ughaibuni.
Bolou alitua Azam FC akiwa na ndugu yake Tchetche ambaye sasa yupo nchini Oman anakocheza soka la kulipwa.
No comments:
Post a Comment