Habari zilizotufikia hapa sasa hivi zinasema aliyewahi kuwa waziri katika serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania Joseph Mungai amefariki dunia jijini Dar es Salaam leo.
Marehemu Mungai aliwahi kuwa mbunge wa Mufundi mkoa wa Iringa kwa mida mrefu na waziri katika wizara mbalimbali ikiwemo elimu pamoja na Kilimo.Habari zaidi kuhusiana na kifo cha marehemu Joseph Mungai zitawajia kupitia mtandao wako pendwa wa blog hii ya Shamakala360
Mungu aiweke roho ya marehemu Mungai mahala pema peponi
No comments:
Post a Comment