Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla (katikati) akisikiliza mambo mbalimbali kutoka kwa Wataalam wa timu ya Wizara hiyo ya Afya ambao wanashughulikia mpango wa Matokeo makubwa sasa (BRN). Katika mkutano huo leo Februari 27.2016, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla (Kushoto) akisikiliza kwa umakini masuala mbalimbali kutoka kwa Wataalam wa timu ya Wizara hiyo ya Afya ambao wanashughulikia mpango wa Matokeo makubwa sasa (BRN). Mkyano huo unafanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam, leo Februari 27.2016.
Wajumbe wa BRN wa Wizara ya Afya wakitoa maelezo yao mbalimbali kwa Naibu Waziri, Dk. Kigwangalla (Hayupo pichani).
Wajumbe wa BRN wa wizara ya Afya wakifuatilia kwa umakini mkutano huo na Naibu Waziri (hayupo pichani)
Naibu Waziri Dk.Kigwangalla akisikiliza kwa umakini pamoja na wajumbe wengine katika mkutrano huo ambao amekutana na wajumbe wa timu ya wataalam wa Wizara yake hiyo wanaoshughulikia masuala ya BRN.
Mjumbe wa Wizara hiyo anayeshughulikia mpango wa BRN, Bw. Benard Konga akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Afya, Dk. Kigwangalla katika mkutano huo
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla (katikati) akisikiliza mambo mbalimbali kutoka kwa Wataalam wa timu ya Wizara hiyo ya Afya ambao wanashughulikia mpango wa Matokeo makubwa sasa (BRN).
Mkutano huo ukiendelea..
Wajumbe wa Wizara ya Afya wanaoshughulikia mpango wa BRN wakifanua jambo.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla (katikati) akisikiliza mambo mbalimbali kutoka kwa Wataalam wa timu ya Wizara hiyo ya Afya ambao wanashughulikia mpango wa Matokeo makubwa sasa (BRN).Baadhi ya Wataalam wa timu ya Wizara hiyo ya Afya ambao wanashughulikia mpango wa Matokeo makubwa sasa (BRN) wakifuatilia mkutano huo mapema leo Februari 27.2016, katika ukumbi wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment