BREAKING

Wednesday 24 February 2016

MAKAM WA RAIS MHE. SAMIA AZINDUA PROGRAM MAALUM YA MWANAMKE NA WAKATI UJAO LEO


fe1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Programe maalum ya Mwanamke na wakati ujao (Female Future) katika ukumbi wa Hoteli ya Hayyat Hotel Dar es salaam Februari 24,2016.
fe2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja baada ya kuzindua Programe maalum ya Mwanamke na wakati ujao (Female Future) katika Hoteli ya Hayyat  Dar es salaam leo Februari 24,2016.
fe3
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na waandishi wa vyombo mbalimbali vya Habari baada ya kuzindua Programe ya Mwananke na wakati ujao Female Future katika Hoteli ya Hayyat Dar es salaam leo Februari 24,2016.

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube