BREAKING

Monday, 24 July 2017

TAMASHA KUBWA LA CASTLE LITE UNLOCKS LAFANA JIJINI DAR ES SALAAM



Msanii Vanessa Mdee akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki.

 Msanii Diamond Platinumz akiwa katika jukwaa la castle lite unlocks akiwakonga wapenzi wa burudani  usiku wa kuamkia leo

Msanii Casper Nyovest akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki.
Msanii toka Marekani FUTURE akiwa jukwaani kwenye tamasha kubwa la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo
.Msanii toka Afrika kusini Casper Nyovest akifanya mahojiano na waandishi wa habari wakiongozwa na Taji Liundi pembeni yake usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha kubwa  la castle lite unlocks viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam

 Wasanii Nevy Kenzo wakizungumza na waandishi wa habari kwenye tamasha la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo 

. Msanii Diamond akizungumza na waandishi wa habari wakiongozwa na Taji Liundi kabla ya kupanda kwenye jukwaa la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo


 Sehemu ya mashabiki waliofurika viwanja vya Leaders 


 Sehemu ya mashabiki waliofurika viwanja vya Leaders 


Sehemu ya mashabiki waliofurika viwanja vya Leaders 








No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube