Manchester United imemtangaza nyota we Michael Carrick kuwa nahodha mpya akichukua mikoba ya aliyekuwa nahodha wa kikosi hicho Wayne Rooney ambaye amejiunga na Everton, na nafasi hiyo kukabidhiwa kiungo huyo mzoefu.
Carrick pamoja na kikosi kizima cha Manchester kwa sasa kipo katika maandalizi ya Ligi Kuu ya Uingereza ambayo itaanza mwezi ujao, na katika mazoezi ya jana nyota huyo alionekana mwenye furaha kila wakati.
KWA PICHA ZAIDI GONGA HAPA>>>>
No comments:
Post a Comment