BREAKING

Tuesday, 4 July 2017

UKIISIKIA SINGIDA UNITED, TEMA MATE CHINI, WANUNUA MKOKO WA TIMU YAO NI BASI LA KISASA...






Singida United wamelitambulisha basi lao jipya ambalo limeanza kutumika na kikosi hicho.

Kikosi a Singida United kimerejea Ligi Kuu Bara msimu ujao na kesho kitaingia kambini mjini Mwanza.

Kocha wa zamani wa Yanga, Hans van der Pluijm ndiye kocha anayekinoa kikosi hicho ambacho kinadhaminiwa na SportPesa.

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube