Mabingwa wa England, Chelsea wameanza mbio za kumnasa kiungo wa Real Madrid, James Rodriguez.
Pamoja na juhudi zake za kubaki Madrid, lakini imekuwa ikionekana Rodriguez hana nafasi kubwa.
Tayari imeelezwa dau la pauni milioni 70 ndiyo bei yake na taarifa zinaeleza, Chelsea imeanza mazungumzo na Madrid ili kumhamishia Mcolombia huyo jijini London.
No comments:
Post a Comment